Luke 24:39-43

39 aTazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.”

40Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake. 41 bWakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, β€œMna chakula chochote hapa?”

42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa, 43 cnaye akakichukua na kukila mbele yao.

Copyright information for SwhNEN